Wakuu nataka kwenda South Africa

ISACOM

JF-Expert Member
Jul 22, 2009
481
500
Kuna mdau humu anaitwa KEAGAN PAUL,wa pili anaitwa KONDA MSAFI,,Waulize watakuelekeza vizuri..Wazoefu na South
 

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
6,174
2,000
Habari za mida wakuu. Me naomba msaada wa jinsi ya kuingia South Africa, taratibu zake zipoje naenda kwa gari. Nataka nijilipue kutafuta maisha, hapa Bongo naona sielewi


NB: passport ninayo
Hiyo nauli fanya mambo mengine mkuu,
Komaa na biashara hapa hapa bongo.

Utakuja kunishukuru siku moja.
 

James kanda

New Member
Dec 10, 2019
1
20
Bora ukomae hapa bongo, ukipata connection ya kueleweka ndo uingie ukiwa na uhakika wa mahali pa kuanzia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom