Wakuu natafuta kazi, nina Atec 2 inayotolewa na NBAA

Edta

Member
Nov 30, 2018
20
3
Habari za mchana.
Wakuu natafuta kazi, Nina Atec 2 inayotolewa na NBAA.. Niko na experience ya cashier ya miaka 4. Naishi Dodoma na namba yangu ni. 0652 248 966
 
Utumishi unaombaga? Na ya Gaming board umeomba boss.
 
Naombaga mkuu, yes niliomba ila naona kimyaaaa...
Ulifatilia boss Ukiomba unaenda kwenye website ya ajira.go.tz matangazo huwa hapo na kuhusu gaming board bado maana toka ipite deadline mpaka leo hata week 2 bado.
 
Habari za mchana.
Wakuu natafuta kazi, Nina Atec 2 inayotolewa na NBAA.. Niko na experience ya cashier ya miaka 4. Naishi Dodoma na namba yangu ni. 0652 248 966
Sikukatishi tamaa lakini jiendeleze.Ma cashier Sasa hivi kampuni nyingi kubwa na serikalini wana digriii.
 
Mbona Accounts Assistant wanatafutwa kila ukichao serikalinina degree pia ana cheo chake kulingana na uhitaji na Nature ya Taasisi ishu ndo hivo kuwa mvumilivu na kuwa updated kUja nafasu za Diploma na Degree tena degree huko ndo Ushindani mkubwa sana kushinda hata Diploma kwa serikalini mfano mdogo Matangazo ya Utumishi ukiangalia.

Kama anapesa si mbaya akajiendeleza pia.
 
Ooooo thanx, niko najiandaa na pepa ya mwezi wa 5, sooo msuli bado nakomaa nao... Ila natafuta angalau nipate lotion.
 
Mimi Nina degree ila sio ya a/c , naweza kuanza level gan mbaka kuipata cpa
Foundation mkuu isipokuwa unaweza kupata Excemption ya Masomo uoiyosoma kwenye Course yako kama tu ilikuwa inaendana na mambo ya Accounts kama Watu wa Banking na Finance au B.A
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom