Wakuu naombeni ushauri, Mdog wangu kasoma masomoya sayansi anataka Utangazaji

Madiber

Member
Dec 9, 2019
28
29
Dogo ana ufaulu Chemistry-c Physics-D Biology-C hataki kusomea masuala ya sayansi anataka utangazaji je yuko sahihi kama tunavyojua soko sikuhizi linatoa nafasi kujiajiri na kuajiriwa kwa wasomi wa sayansi.
 
Back
Top Bottom