Wakuu naombeni ratiba na utaratibu wa kuwaona wagonjwa hasa wasio na ndugu hopitali zote kubwa hapa jijini DSM.

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,571
15,320
Kichwa cha habari chahusika.

Mwaka huu ninampango wa kuchota baraka kwa kuwatembelea hawa wabongo wenzangu analau mara moja kw mwezi.
 
mwananyamala ?
mloganzila ?
muhimbili ?
amana ?
temeke ?
ocean road ?

hizi ndio target zangu. ratiba na utaratibu kwa anayefahamu maana ni miaka kitambo sana sijapita mitaa hiyo.
 
Nitangulie kukupongeza kwa moyo wa upendo. Ukienda hospitali onana na kitengo cha ustawi wa jamii, Watakusaidia.

Njia nyingine rahisi kwa hosptal zenye nyumba za ibada unapitia huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
asante hiyo ya ustawi wa jamii nimeielewa zaidi.
mimi sina fweza ila natamani kuwatia faraja na dua ya pamoja. kwa wale wenye hali mbovu zaidi na matatizo yao yako ndani ya uwezo nitajibana mkuu.
 
Mathayo 25:31 "nalikuwa uchi mkanivika,nalikuwa mgonjwa mkaja kunitazama,nalikuwa kifungoni mkanijia

Math25:39Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa au kifungoni tukakujia?

25:40
Na mfalme atajibu,akiwaambia,Amin nawaambia,kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo mlinitendea Mimi

Hakika wema unaotenda kwa hao jua unamtendea Bwana.
Atakubariki,atakuinua,atakulinda Mara dufu

Ahsante mkuu
 
mwananyamala ?
mloganzila ?
muhimbili ?
amana ?
temeke ?
ocean road ?

hizi ndio target zangu. ratiba na utaratibu kwa anayefahamu maana ni miaka kitambo sana sijapita mitaa hiyo.
1. Saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa moja
2. Saa sita mpaka saa nane mchana (chakula)
3. Saa kumi mpaka kumi na mbili jioni
 
mwananyamala ?
mloganzila ?
muhimbili ?
amana ?
temeke ?
ocean road ?

hizi ndio target zangu. ratiba na utaratibu kwa anayefahamu maana ni miaka kitambo sana sijapita mitaa hiyo.
Mungu akubariki, Niliwahi kutembelea Ocean road siku nililia ile Kuna watu wanateseka kwa magonjwa.
 
Back
Top Bottom