Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

Umeoa au umeolewa ww..Mwanaume ni kuwa na maamuzi yenye msingi na yaeleweke mpaka na sisimizi au mbu aliyopo ndani ya nyumba yako.sina cha kukushauri zaidi ya kukuombea uwe Mwanaume na sio mvulana
 
Kauli ya mvumilivu hula mbivu naona wewe unaitumia vibaya. Hivi ni mbivu gani unategemea kuzipata hapo? Kama unaogopa kugawana mali si umnunulie gunia mbili za mkaa au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom