MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.

Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer
2. SANLG
3. Feckon
4. TVS King
5. Hero
6. King Lion
7.houjo
Sanlg....unaweza beba ata gunia la mkaa
 
Msaada kwa mtu ambaye amewai nunua piki piki toke nje naomba anielekaze jinsi kodi inavokua [ makato ya kodi yalivo] na vifaa /spare zake kwenye swala la kodi
 
wadau nimeandaa bajeti kwaajili ya pikipiki ya matumizi binafsi ya kuzungukia mishe zangu na kazini..

kulingana na bajeti yangu najikuta naangukia kwenye TVS HLX 150 na BOXER BAJAJ 150

Wenye uzoefu na hizi mashine mbili...naomba ufafanuzi ipi bora kati ya hizo mashine mbili


images(1).jpeg
TVS-150.jpeg
 
Wakuu habari za majukumu ya utafutaji.

Nina budget ya 2.5M nataka kununua pikipiki au bodaboda kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kwenda kwenye mishe zangu. Niko pembeni kidogo na Dar, sasa barabara za huku nilipo hazina rami. Zina vidimbwi vya maji, mabonde in short ni rough road.

Pikipiki ipi inaweza kuhimili changamoto za barabara mbaya japo haipakii mizigo ni kwa ajili yangu tu. Hivi pikipiki kuwa na gear nyingi mfano zipo za gear 4 na zingine 5 kunafanya pikipiki kuwa na speed zaidi?
 
Ungekuwa na bajet ya mil 10 mpak 7 ningekupa mashine yangu 2017 Kx250 ingekufaa

Sikia achana na fekon, sanlg, boxer na takataka zingne kama hizo utakuja kufa. Hazichelewi kupata miss. Au kuchomoka front shock's

Jichange chukua hizi mashine

Crf 250/450
Rmz 250
KTM 450
kx 450 ikiwa 2stroke au 4stroke itakufaa sana.

Au ukikosa sana basi yzf, 250!
 
Jamaa umemtajia mwenzio mikipiki kama vile anataka za mashindano

yani mi baja ya juu juu imekaa kukimbizana kimbizana tuu kama watu wa mereran

Mkuu we kama hutaki makuuu vuta TVS yako uchune kimyaaaa

Ushasema ni matumizi binafsi inakutosha hiyo TVS vizuri tu au Boxer

Nunua piki piki ambayo ukiichoka unaweza iuza ndani ya siku tu ishapata mteja

wewe sasa jichanganye ununue hiyo midude aliokushauri charldzosias

ukija kutaka kuiuza utakoma,utakaa nayo mpk uzeeeni we tafuta ndoa tu.

hiyo bajeti yako wala usitake makuuuu
 
Hahah.. Emb pitia Post hapo juu.. Jamaa kasema anataka pikipiki kwa matuimizi yake binafsi Habebi mizigo.. Pili yupo nje ya mji! Means inatakiwa bike yenye Cc nzuri kumuwahisha mjini.

Tatu mazngr kasema yupo porini hakuna lami.. Means anatakiw apate mashne yenye nguvu na rafiki ktk mazngra hayo.. Ila yote ya yote aliesema ktm au kx au crf haziuziki nan? Mie kila cku nasumbuliwa niuze bike yangu ila sitaki.. Na mtu anafik mpak 11 mil..

Ktk kufanya maamuzi hasa ya vyombo vya moto jitahd uwe makini.. Ajali na vifo vinasabbshw na hali duni ya chombo usika! Yaan ukitaka ufe fanya ubahiri ktk sekta hyo! Hzo bike uhakika wa safari popote wakat wowote! Sio boxer..! Hakuna pikipiki pale mnaendesha Majeneza.
 
Ungekuwa na bajet ya mil 10 mpak 7.. Ningekupa mashine yangu 2017 Kx250..ingekufaa

skia achana na fekon,sanlg,boxer na takataka zngne kama hzo Utakuja kufa! Hazichelewi kupata miss.. Au kuchomoka front shock's

Jichange chukua hzi mashne

Crf 250/450
Rmz 250
KTM 450
kx 450 ikiwa 2stroke au 4stroke itakufaa sana..

Au ukikosa sana basi yzf.. 250!
Pikipiki milioni 10 si bora achukue hata ka starlet.
 
Katika bike kusema kweli ntakudanganya! Uendeshaji wangu ni tofauti.. Mafuta nayavuta full time! Hata nikiw ktk free..

Nayavuta tu ili nipate ile Sound of freedom! Pili Tanks zinatofautiana yangu ni 6.1L inaend 16 miles per galon.

Mara nying nikijaz full nazurura mpk nachoka siangaliag kilometa nilizotembea.. Nafany hvy ktk gari.. Cc 250 mbn kawaida sana
 
Mlala hoi mwenzangu (nimekuita mlala hoi mwenzangu maana ungekua sio mlala hoi kama mimi usingeuliza ingeenda kununua hili dubwasha la mil 18 )
Nunua piki piki unayo iweza kuihudumia kama slg tvs.

Ila mimi nakushauri nunua tvs kwa sababu hubebi mizigo angalau boxer ila nzuri zaidi ningekua mimi ningechukua tvs sasa danganywa na huyo anae itwa CHACHA...

Sasa maana hiyo mil 25 yako tvs ni mil2150 ya 125 cc na mil 250 150 cc kama sijakosea bei helayako inakua imeisha sasa danganywa ununue sijui ktm tuu ife kifaa uambiwe kinauzwa laki nane uone joto la jiwe
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom