Wakuu naomba ushauri wa pikipiki imara

codifier

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
238
Points
500

codifier

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
238 500
Wakuu habari za majukumu ya utafutaji.

Nina budget ya 2.5M nataka kununua pikipiki au bodaboda kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kwenda kwenye mishe zangu. Niko pembeni kidogo na Dar, sasa barabara za huku nilipo hazina rami. Zina vidimbwi vya maji, mabonde in short ni rough road.

Pikipiki ipi inaweza kuhimili changamoto za barabara mbaya japo haipakii mizigo ni kwa ajili yangu tu. Hivi pikipiki kuwa na gear nyingi mfano zipo za gear 4 na zingine 5 kunafanya pikipiki kuwa na speed zaidi?
 
charldzosias

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,472
Points
2,000

charldzosias

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,472 2,000
Ungekuwa na bajet ya mil 10 mpak 7 ningekupa mashine yangu 2017 Kx250 ingekufaa

Sikia achana na fekon, sanlg, boxer na takataka zingne kama hizo utakuja kufa. Hazichelewi kupata miss. Au kuchomoka front shock's

Jichange chukua hizi mashine

Crf 250/450
Rmz 250
KTM 450
kx 450 ikiwa 2stroke au 4stroke itakufaa sana.

Au ukikosa sana basi yzf, 250!
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Messages
3,055
Points
2,000

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2019
3,055 2,000
Jamaa umemtajia mwenzio mikipiki kama vile anataka za mashindano

yani mi baja ya juu juu imekaa kukimbizana kimbizana tuu kama watu wa mereran

Mkuu we kama hutaki makuuu vuta TVS yako uchune kimyaaaa

ushasema ni matumizi binafsi inakutosha hiyo TVS vizuri tu au Boxer

Nunua piki piki ambayo ukiichoka unaweZa iuza ndani ya siku tu ishapata mteja

wewe sasa jichanganye ununue hiyo midude aliokushauri charldzosias

ukija kutaka kuiuza utakoma,utakaa nayo mpk uzeeeni we tafuta ndoa tu.

hiyo bajeti yako wala usitake makuuuu
 
charldzosias

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,472
Points
2,000

charldzosias

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,472 2,000
Hahah.. Emb pitia Post hapo juu.. Jamaa kasema anataka pikipiki kwa matuimizi yake binafsi Habebi mizigo.. Pili yupo nje ya mji! Means inatakiwa bike yenye Cc nzuri kumuwahisha mjini.. Tatu mazngr kasema yupo porini hakuna lami.. Means anatakiw apate mashne yenye nguvu na rafiki ktk mazngra hayo.. Ila yote ya yote aliesema ktm au kx au crf haziuziki nan? Mie kila cku nasumbuliwa niuze bike yangu ila sitaki.. Na mtu anafik mpak 11 mil..

Ktk kufanya maamuzi hasa ya vyombo vya moto jitahd uwe makini.. Ajali na vifo vinasabbshw na hali duni ya chombo usika! Yaan ukitaka ufe fanya ubahiri ktk sekta hyo! Hzo bike uhakika wa safari popote wakat wowote! Sio boxer..! Hakuna pikipiki pale mnaendesha Majeneza.
 
JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Messages
4,273
Points
2,000

JEKI

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2013
4,273 2,000
Ungekuwa na bajet ya mil 10 mpak 7.. Ningekupa mashine yangu 2017 Kx250..ingekufaa

skia achana na fekon,sanlg,boxer na takataka zngne kama hzo Utakuja kufa! Hazichelewi kupata miss.. Au kuchomoka front shock's

Jichange chukua hzi mashne

Crf 250/450
Rmz 250
KTM 450
kx 450 ikiwa 2stroke au 4stroke itakufaa sana..

Au ukikosa sana basi yzf.. 250!
Pikipiki milioni 10 si bora achukue hata ka starlet.
 
charldzosias

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,472
Points
2,000

charldzosias

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,472 2,000
Ktk bike kusema kweli ntakudanganya! Uendeshaji wangu ni tofauti.. Mafuta nayavuta full time! Hata nikiw ktk free.. Nayavuta tu ili nipate ile Sound of freedom! Pili Tanks zinatofautiana yangu ni 6.1L inaend 16 miles per galon.. Mara nying nikijaz full nazurura mpk nachoka siangaliag kilometa nilizotembea.. Nafany hvy ktk gari.. Cc 250 mbn kawaida sana
 
xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
416
Points
500

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
416 500
Mlala hoi mwenzangu (nimekuita mlala hoi mwenzangu maana ungekua sio mlala hoi kama mimi usingeuliza ingeenda kununua hili dubwasha la mil 18 )
Nunua piki piki unayo iweza kuihudumia kama slg tvs.
Ila mimi nakushauri nunua tvs kwa sababu hubebi mizigo angalau boxer ila nzuri zaidi ningekua mimi ningechukua tvs sasa danganywa na huyo anae itwa CHACHA......sasa maana hiyo mil 25 yako tvs ni mil2150 ya 125 cc na mil 250 150 cc kama sijakosea bei helayako inakua imeisha sasa danganywa ununue sijui ktm tuu ife kifaa uambiwe kinauzwa laki nane uone joto la jiwe
Wakuu habari za majukumu ya utafutaji.

Nina budget ya 2.5M nataka kununua pikipiki au bodaboda kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kwenda kwenye mishe zangu. Niko pembeni kidogo na Dar, sasa barabara za huku nilipo hazina rami. Zina vidimbwi vya maji, mabonde in short ni rough road.

Pikipiki ipi inaweza kuhimili changamoto za barabara mbaya japo haipakii mizigo ni kwa ajili yangu tu. Hivi pikipiki kuwa na gear nyingi mfano zipo za gear 4 na zingine 5 kunafanya pikipiki kuwa na speed zaidi?
 
charldzosias

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,472
Points
2,000

charldzosias

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,472 2,000
Tvs.. Jamani mnajua bei ya vifaa vyake?

Ngoja niwaweke sawa ndugu zangu.. Mie simpotezi mtoa Mada.. Ila nampa ushauri mzuri sana.. Sio lazima anunue bike ya mil 18,au mil 10.. Zipo bike mpk mil 4.. Na ni same type na specs tofaut ni imetumika muda gani na year of prod.

Nunua pikipiki hyo ya mil 2.. Utumie mwaka mmoja uje kuuza laki 9!

Pili.. Utaingia cost zisizo na maana.. Jiandae kununua spocket kila mara.. Chain drive.. Jiandae kubadir front/rear suspension kila mara..

Jiandae kukosa uhuru njiani.. Ipo wazi ukiendesh boxer au tvs kla mtu anakuona bodaboda tu ndo hapo rafu za maksudi zinatawala.. Ukiwa na kx! Au crf kwanza mwenye crown anakupisha upite..

Pili kiuhalisia.. Hata usumbufu wa wale Tigo haukupati.. Unaingia popote mjini.. Advantage hzo! Kingine cha mwisho hz bike unaweza nunua mil 5 ukaja kuuza mil 7.. Ila tvs unanunua mil 2.5 unakuj kuuza lak 9.

Bike yangu ina mwaka saiv nabadir oil tu.... Basi.. Uliza wamilik wa boxer au tvs maintanance cost thou ni cheap spare parts ila hazidumu.. Humaliz mwez unafungua hiki unafunga kile.. Ukija kupga mahesabu umetumia hela nyng..

Faida ya hzo Tvs na boxer unaweza ukawa unapakia abiria njiani kufidia mafuta.. Kujipatia kipato ukiwa free!

Mwisho.. <Cheap is expensive!>

shortcut always is a longcut
 
specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
1,134
Points
1,500

specialist88

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
1,134 1,500
Wakuu habari za majukumu ya utafutaji.

Nina budget ya 2.5M nataka kununua pikipiki au bodaboda kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kwenda kwenye mishe zangu. Niko pembeni kidogo na Dar, sasa barabara za huku nilipo hazina rami. Zina vidimbwi vya maji, mabonde in short ni rough road.

Pikipiki ipi inaweza kuhimili changamoto za barabara mbaya japo haipakii mizigo ni kwa ajili yangu tu. Hivi pikipiki kuwa na gear nyingi mfano zipo za gear 4 na zingine 5 kunafanya pikipiki kuwa na speed zaidi?
Mkuu, ongeza 500,nikupe piki piki nzuri ya R8. Kama upo serious ni Dm namba yako ya whatsApp mzee.
 
Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
34,738
Points
2,000

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
34,738 2,000
Niliwahi enda ulizia Honda XLR 250 nikaambiwa 10mil nikakimbia....
Hivi Honda Clik bei gani?
Tvs.. Jamani mnajua bei ya vifaa vyake?

Ngoja niwaweke sawa ndugu zangu.. Mie simpotezi mtoa Mada.. Ila nampa ushauri mzuri sana.. Sio lazima anunue bike ya mil 18,au mil 10.. Zipo bike mpk mil 4.. Na ni same type na specs tofaut ni imetumika muda gani na year of prod.

Nunua pikipiki hyo ya mil 2.. Utumie mwaka mmoja uje kuuza laki 9!

Pili.. Utaingia cost zisizo na maana.. Jiandae kununua spocket kila mara.. Chain drive.. Jiandae kubadir front/rear suspension kila mara..

Jiandae kukosa uhuru njiani.. Ipo wazi ukiendesh boxer au tvs kla mtu anakuona bodaboda tu ndo hapo rafu za maksudi zinatawala.. Ukiwa na kx! Au crf kwanza mwenye crown anakupisha upite..

Pili kiuhalisia.. Hata usumbufu wa wale Tigo haukupati.. Unaingia popote mjini.. Advantage hzo! Kingine cha mwisho hz bike unaweza nunua mil 5 ukaja kuuza mil 7.. Ila tvs unanunua mil 2.5 unakuj kuuza lak 9.

Bike yangu ina mwaka saiv nabadir oil tu.... Basi.. Uliza wamilik wa boxer au tvs maintanance cost thou ni cheap spare parts ila hazidumu.. Humaliz mwez unafungua hiki unafunga kile.. Ukija kupga mahesabu umetumia hela nyng..

Faida ya hzo Tvs na boxer unaweza ukawa unapakia abiria njiani kufidia mafuta.. Kujipatia kipato ukiwa free!

Mwisho..

shortcut always is a longcut
 
robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
2,305
Points
2,000

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
2,305 2,000
mmh! naiona rangi ya kiduku lilo hapa.

tuelewe kwanza kusudio la mleta mada kuitaja 2.5m.
Hahah.. Emb pitia Post hapo juu.. Jamaa kasema anataka pikipiki kwa matuimizi yake binafsi Habebi mizigo.. Pili yupo nje ya mji! Means inatakiwa bike yenye Cc nzuri kumuwahisha mjini.. Tatu mazngr kasema yupo porini hakuna lami.. Means anatakiw apate mashne yenye nguvu na rafiki ktk mazngra hayo.. Ila yote ya yote aliesema ktm au kx au crf haziuziki nan? Mie kila cku nasumbuliwa niuze bike yangu ila sitaki.. Na mtu anafik mpak 11 mil..

Ktk kufanya maamuzi hasa ya vyombo vya moto jitahd uwe makini.. Ajali na vifo vinasabbshw na hali duni ya chombo usika! Yaan ukitaka ufe fanya ubahiri ktk sekta hyo! Hzo bike uhakika wa safari popote wakat wowote! Sio boxer..! Hakuna pikipiki pale mnaendesha Majeneza.
 
robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
2,305
Points
2,000

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
2,305 2,000
weka picha ya hilo dude. usikute ni kama lile lilomuangusha p. mayala.

kwenye nyuzi za pikipiki angalau natupia abc maana ngazi za gari sizijui. najitenga na wengi wa jf maana 95/% wote wanatembelea miguu 4.

unavyolisimulia hilo DUDE napata mzuka kuliungurumisha, japo cc 250 sio za kitoto kwa sisi tuliozoea 'majeneza' ya mchina na mhindi.
Ktk bike kusema kweli ntakudanganya! Uendeshaji wangu ni tofauti.. Mafuta nayavuta full time! Hata nikiw ktk free.. Nayavuta tu ili nipate ile Sound of freedom! Pili Tanks zinatofautiana yangu ni 6.1L inaend 16 miles per galon.. Mara nying nikijaz full nazurura mpk nachoka siangaliag kilometa nilizotembea.. Nafany hvy ktk gari.. Cc 250 mbn kawaida sana
 
codifier

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
238
Points
500

codifier

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
238 500
Ungekuwa na bajet ya mil 10 mpak 7.. Ningekupa mashine yangu 2017 Kx250..ingekufaa

skia achana na fekon,sanlg,boxer na takataka zngne kama hzo Utakuja kufa! Hazichelewi kupata miss.. Au kuchomoka front shock's

Jichange chukua hzi mashne

Crf 250/450
Rmz 250
KTM 450
kx 450 ikiwa 2stroke au 4stroke itakufaa sana..

Au ukikosa sana basi yzf.. 250!
Thanks mkuu Ila hiyo midude mkuu mpaka uwe umejipanga kweli.
 
Forum statistics

Threads 1,379,038
Members 525,291
Posts 33,732,686
Top