Wakuu naomba ushauri, nina 570,000 nataka kununua laptop

Gwakukahja

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,118
732
Wakuu naomba ushauri nina 570000 nataka kununua laptop kwa matumiz ya kawaida yaan kuangalia movie, series, gaming, ku download na shughuli ndogondogo kama kuchapa baadhi ya doc. kuhifadhi data nzangu na mengne....
 
Njoo Nkuuzie Dell
Mpya
Yenyr sifa hizi hapa
Ram = 8GB
HDD= 1000(1TB)
Ni core I 5
Charge 6 hours N.k
Nakupa na wrantty ya mwaka!!!
Kwa lak 6/=
Zimebak 2.wahi
KWA Maongez na picha nichek whataspp
0716889489
Ntakutafta NXT year 2017.....Hope utakuwa nazo zingne
 
Njoo Nkuuzie Dell
Mpya
Yenyr sifa hizi hapa
Ram = 8GB
HDD= 1000(1TB)
Ni core I 5
Charge 6 hours N.k
Nakupa na wrantty ya mwaka!!!
Kwa lak 6/=
Zimebak 2.wahi
KWA Maongez na picha nichek whataspp
0716889489
MKUU UPO WAPII
 
Wakuu naomba ushauri nina 570000 nataka kununua laptop kwa matumiz ya kawaida yaan kuangalia movie, series, gaming, ku download na shughuli ndogondogo kama kuchapa baadhi ya doc. kuhifadhi data nzangu na mengne....
Njoo nikuuzie Dell
Core i5
HDD 500 GB
Ram 6 GB
DVD rewrite
Charge 10 Hrs
Njoo pm fasta.
 
Njoo Nkuuzie Dell
Mpya
Yenyr sifa hizi hapa
Ram = 8GB
HDD= 1000(1TB)
Ni core I 5
Charge 6 hours N.k
Nakupa na wrantty ya mwaka!!!
Kwa lak 6/=
Zimebak 2.wahi
KWA Maongez na picha nichek whataspp
0716889489
Graphics ikoje mkuu? Naihitaji mainly kwa kuchezea game
 
Wakuu naomba ushauri nina 570000 nataka kununua laptop kwa matumiz ya kawaida yaan kuangalia movie, series, gaming, ku download na shughuli ndogondogo kama kuchapa baadhi ya doc. kuhifadhi data nzangu na mengne....
Nitafute,, 0764243137
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom