Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,118
- 732
Wakuu naomba ushauri nina 570000 nataka kununua laptop kwa matumiz ya kawaida yaan kuangalia movie, series, gaming, ku download na shughuli ndogondogo kama kuchapa baadhi ya doc. kuhifadhi data nzangu na mengne....