Wakuu naomba ushauri na elimu ya hii chombo murua

codifier

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
439
850
Habari za wakati huu wana JamiiForums.

Nahitaji kununua piki piki aina ya HONDA CBR 125R ya mwaka 2019 au 2018 with specs liquid cooled and tubeless tyres.

Je Naweza pata hapa bongo? Au Kama naagiza nje ya nchi mfano Zanzibar au Dubai naagiza vipi?

Kipi tahitaji kulipia baada ya kuagiza ili kukamilisha usajiri na bei yake kwa usajili na kodi

Badger yangu ni 4M hadi 5M, naweza pata hata ya mtumba in good condition?

IMG_0634.jpg
 
Habari za wakati huu wana JamiiForums.

Nahitaji kununua piki piki aina ya HONDA CBR 125R ya mwaka 2019 au 2018 with specs liquid cooled and tubeless tyres...

Wakuu ushauri wenu tafadhali unahitajika hapa
 
Sina haja ya kufungua uzi mpya.. Natafuta CBR au sport bike yoyote..

Kwa DAR wapi pana showroom?
 
Sina haja ya kufungua uzi mpya.. Natafuta CBR au sport bike yoyote..

Kwa DAR wapi pana showroom?
Dar maeneo ya Magomeni Mikumi na Kinondoni kuna jamaa wanauza za mtumba bike mbalimbali.

Kama huna haraka nunua za South Africa kwenye minada au Gumtree kisha utasafirisha kwa maroli mpaka Tanzania.

Cheki Cbr600rr hiyo inauzwa mil6.7 za kibongo.
 
Habari za wakati huu wana JamiiForums.

Nahitaji kununua piki piki aina ya HONDA CBR 125R ya mwaka 2019 au 2018 with specs liquid cooled and tubeless tyres.

Je Naweza pata hapa bongo? Au Kama naagiza nje ya nchi mfano Zanzibar au Dubai naagiza vipi?

Kipi tahitaji kulipia baada ya kuagiza ili kukamilisha usajiri na bei yake kwa usajili na kodi

Badger yangu ni 4M hadi 5M, naweza pata hata ya mtumba in good condition?

View attachment 1578076
Haya CBR125R hiyo Kwa bei ya million 3.8 za kitanzania hapo inabidi umtafute mtu au agent aliyeko South Africa akufanyie mpango wa kuikagua kule kabla ya kununuliwa, kusafirisha mpaka Tunduma au Dar na kuivusha boda. Gharama zote inaweza kufika million 5 au ikazidi kidogo.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom