Wakuu Naomba usahihi wa hii email hapa chini kabla sijatapeliwa

Which 'Government'
Hello, hope this email finds you well,

The Government in association with USAID is giving out funds to entrepreneurs in order to improve their businesses during this time. First consideration goes to those that have ever applied for a grant before. For approval see the attachments below for your use. Download, print, fill it then scan and send it back to me through this email as soon as possible.

Ni kweli kwamba mwaka jana niliomba lakini.. Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app

We jaza mafomu yao kama wakiomba mpunga kama ada wakache
 
Tafadhali boss nifafanulie ile email vipi inaweza ikawa applicable?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani anakuambia utume hiyo email kwake as an individual na si kwa taasisi ambayo itampatia hiyo email aifanyie kazi! Pili, ni Serikali gani inayozungumziwa? Ya Kenya au ya hapa kwetu? Hilo la kuingiza USAID katika taarifa hii ni chambo cha kukuvutia wewe ukubaliane na hayo anayokueleza. Ndugu, huu ni mtego, tahadhari kabla ya hatari. You have been warned.
 
Hello, hope this email finds you well,

The Government in association with USAID is giving out funds to entrepreneurs in order to improve their businesses during this time. First consideration goes to those that have ever applied for a grant before. For approval see the attachments below for your use. Download, print, fill it then scan and send it back to me through this email as soon as possible.

Ni kweli kwamba mwaka jana niliomba lakini.. Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ilipoomba wana special email address ,sio gmail wala Yahoo mail ....je hii email uliotumia kuapply ndio hiyo imekutumia ujumbe huo?
 
Back
Top Bottom