Wakuu Naomba usahihi wa hii email hapa chini kabla sijatapeliwa

Hello, hope this email finds you well,

The Government in association with USAID is giving out funds to entrepreneurs in order to improve their businesses during this time. First consideration goes to those that have ever applied for a grant before. For approval see the attachments below for your use. Download, print, fill it then scan and send it back to me through this email as soon as possible.

Ni kweli kwamba mwaka jana niliomba lakini.. Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Never download such documents. Wanaweza kuimaliza PC yako.

Angalia email address yao. Ni ya taasisi au hizi za Yahoo?

Why specifically addressed to you. Akili mukichwa.
 
Hello, hope this email finds you well,

The Government in association with USAID is giving out funds to entrepreneurs in order to improve their businesses during this time. First consideration goes to those that have ever applied for a grant before. For approval see the attachments below for your use. Download, print, fill it then scan and send it back to me through this email as soon as possible.

Ni kweli kwamba mwaka jana niliomba lakini.. Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
walivyo andika inasound genuine; cha kufanya wewe jaza form kama walivyo elekeza ila ukiombwa utume hela yoyote ujue ni MATAPELI kwani huko kila kitu ni included (free of charge)
pia wakiweka namba za simu angalia kama ni za west Africa kwani huko ndiko matapeli waliko jaa zaidi pia email yao iwe ya office sio hizi ya gmail/yahoo/aol etc
 
Mkuu form wameniambia nijaze kwa INK color ndo ipi hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kofia ya plastiki,

Kabla hatujaumiza kichwa, weka hapa email domain. Ninaposema email domain chukua mfano huu hapa chini:-

chige@jamiiforums.com

Kwa mfano huo hapo juu, jamiiforums.com ndiyo domain.

Hiyo ndiyo njia nyepesi zaidi ya kufahamu fraud, kwa sababu, USAID kwa mfano, hii ni taasisi ya serikali na kwahiyo domain yake inatarajiwa iishie na .gov; kwa mfano, chige@usaid.gov
 
Back
Top Bottom