mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,142
- 5,634
Wana JF katika ulimwengu huu wa kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo kwenye nchi yetu nina imani kuna mambo mengi ambayo tunaweza tukashirikishana katika forum hii ya BUSINESS & ECONOMIC na kutuhamasisha kufanya zaidi, na kuweka malengo makubwa zaidi ya yale tuliyokwisha kujipangia.
Katika kushirikishana mafanikio na changamoto mbalimbali tuzakumbana nazo kwenye ujasiriamali zitasaidia kuwainua tena wale ambao wamekata tamaa kuendelea na ndoto zao.
Naomba tushirikishane hapa mawazo, mafanikio, changamoto na mbinu mbalimbali za halali ambazo zinaweza kusaidia kutufanikisha zaidi kwa wale wote wenye mtazamo chanya wa ujasiriamali.
Thanks..