Wakuu naomba tushirikishane MAFANIKIO na CHANGAMOTO tunazokumbana nazo kwenye UJASIRIAMALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu naomba tushirikishane MAFANIKIO na CHANGAMOTO tunazokumbana nazo kwenye UJASIRIAMALI

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mwanawao, Aug 30, 2011.

 1. mwanawao

  mwanawao JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 1,983
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Wana JF katika ulimwengu huu wa kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo kwenye nchi yetu nina imani kuna mambo mengi ambayo tunaweza tukashirikishana katika forum hii ya BUSINESS & ECONOMIC na kutuhamasisha kufanya zaidi, na kuweka malengo makubwa zaidi ya yale tuliyokwisha kujipangia.

  Katika kushirikishana mafanikio na changamoto mbalimbali tuzakumbana nazo kwenye ujasiriamali zitasaidia kuwainua tena wale ambao wamekata tamaa kuendelea na ndoto zao.

  Naomba tushirikishane hapa mawazo, mafanikio, changamoto na mbinu mbalimbali za halali ambazo zinaweza kusaidia kutufanikisha zaidi kwa wale wote wenye mtazamo chanya wa ujasiriamali.

  Thanks..
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  be specific.
  unasema mafanikio katika ujasiriamali?? ...its a broad topic, in short mafanikio katika business among other factors ni ku make profit/return/faida. zingine chache ni kujikwamua kiuchumi, ku improve standard of living etc

  changamoto pia ni nyingi na zinategemeana na aina ya biashara. mfano zawezwa kuwa katika aspect ya uendeshaji, usimamizi, wafanyakazi, ushindani, kodi na other expenses etc.

  kuwa specific kungesaidia kuichambua business mojamoja.
  my views
   
 3. I

  Igembe Nsabo Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ungesema unafanya biashara gani au eneo lipi la biashara unafanya ili tuweze kueleza au kulichambua, Changamoto au mafanikio yanapishana kutegemea na eneo au biashara! be specific for area or business?

  Tutachangia tu.
   
Loading...