Wakuu naomba mwenye information anijuze

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Kuna mtu ameniambia kuwa imeripotiwa kuwa mhe john pombe magufuli kuwa nae ni mgonjwa hili lina ukweli ndani yake?tafadhali mwenye information anijuze wakuu
 
kwa hiyo alijifanya anasindikiza kumbe na yeye alikuwa anaenda gereji
 
Kuna mtu ameniambia kuwa imeripotiwa kuwa mhe john pombe magufuli kuwa nae ni mgonjwa hili lina ukweli ndani yake?tafadhali mwenye information anijuze wakuu

Usituletee habari za vijiweni hapa, bora vuta subira kama kuna kitu kama hicho vyombo vya habari vitatujuiza juu ya hilo, hakuna kona ya viongozi nchini iliyo mbali na vyombo vya habari. Umoja wa wanawake ambao wako karibu nao siku hizi ndio source namba moja.
 
hovyoooooooooooooooo! siju kwa nini usiku mambu huwa yanakuwa hovyo hovyo humu jamvini, why?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom