Wakuu naomba msaada

cymon taylor

JF-Expert Member
Apr 3, 2019
361
500
Naimani mko poa kabisa. Niende kwenye mada, ni hivi hapa nimepata safari ya kwenda South Africa kimajukumu. Sasa nilikuwa naomba msaada wa kujua taratibu za kupata temporary passport ili nifanikishe safari yangu.

Nawasilisha wakuu, msaada.
 
Msee Paka

Member
Aug 21, 2016
16
45
South Africa, temporary pasipoti haitakiwi bali ile kubwa (electronic pasipoti) ya miaka 10. Bei yake ni 150,000. Application ni online. Zaidi Ingia kwenye website ya Uhamiaji Tanzania utapata maelezo yote huko.
 
cymon taylor

JF-Expert Member
Apr 3, 2019
361
500
South Africa, temporary pasipoti haitakiwi bali ile kubwa (electronic pasipoti) ya miaka 10. Bei yake ni 150,000. Application ni online. Zaidi Ingia kwenye website ya Uhamiaji Tanzania utapata maelezo yote huko.
Duh aisee kumbe mambo ni kipengele hivi! Me nilijua naweza kupata hata ya temporary miezi labda miwili au mitatu.
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
4,880
2,000
Mimi sijawahi kabisa hata siku moja kusafiri kwenda nje ya Nchi, maisha yangu yote. Assuming utaratibu nauelewa, je na mimi pia ninatakiwa nikujibu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom