Wakuu naomba msaada juu hili

heavyload

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
900
497
1-Ni sahihi mtu mliyeshirikiana naye kwenye shughuli za kilimo kukushtaki kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu baada ya project kutokuwa na matokeo mazuri?

2- Kwakuwa huyu mshirika alikuwa anatuma pesa tu je ni sahihi kunifungulia kesi ya jinai wakati anajua fika pesa ilikuwa inaenda kugharamia shughuli za shamba?
Msaada tafadhali wakuu
 
Kukushtaki inawezekana,, ila kushinda ndiyo inakuwa ngumu,,,,,,,,,
 
Hakuna haja ya kumlipa...
Kwani ulimkopa? Makubaliano yalikuwaje?
 
If he's to succeed, he'll be required to prove the following:-

1) That you obtained from money which is his

2). By means of an intentionally false statement of past or existing fact (In your case it means the shamba project never existed or is non existing)

3) With the intent to defraud him.
 
1-Ni sahihi mtu mliyeshirikiana naye kwenye shughuli za kilimo kukushtaki kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu baada ya project kutokuwa na matokeo mazuri?

2- Kwakuwa huyu mshirika alikuwa anatuma pesa tu je ni sahihi kunifungulia kesi ya jinai wakati anajua fika pesa ilikuwa inaenda kugharamia shughuli za shamba?
Msaada tafadhali wakuu
Kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ni shauri la jinai si madai. Hivyo unaweza shitakiwa na Jamhuri kwa tendo hilo na jamaa yako akawa shahidi
 
Back
Top Bottom