Wakuu naomba kuongezewa uelewa kwa anayejua salary scales za serikali kuu

kacherema

Senior Member
Oct 3, 2017
115
57
Wakuu naomba kuongezewa uelewa kwa anayejua salary scales za serikali kuu, wanaposema TGS labda A, B, C nakuendelea kwenye tarakimu halisi ya fedha Tgs A ni shilingi ngapi? Na B unazidisha mara mbili ya hiyo A au inakuwaje!. Nahitaji kufafanuliwa thamani halisi ya hizo TGS A,B,C,D,E n.k
 
A-290k-Form Four
B-390k-Certificate
C-520k-Diploma
D-710k-Degree Ya Baadhi ya Fani za Biashara,Uchumi n.k
E-9xxk-Degree ya Fani za Wahandisi.
 
Huu uzi huwa nauona upo outdated sana.. Moderator walitakiwa wau update ioneshe viwango vya mishahara mwa miaka hii ya sasa
 
Back
Top Bottom