Wakuu naomba kujua usahihi Wa hili jambo

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Je Usahihi ni United Republic of Tanzania au Ni ""The United Republic of Tanzania.?""

Kwa Maana ""Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ""na Siyo ""Jamhuri ya Muungano Ya Tanzania.""? .... Karibuni
 
Kwa uelewa wangu... Hapo hayo maneno mawili ya kiingereza hayaja maanisha kuwa moja ni "ya" na ingine ni "wa".... Iyo the haiisiani hapo.... Kwahyo swali uulize tu kirefu cha JMT
 
Jamhuri ya muungano ya Tanzania ndio sahihi
Wrong,kwani kabla ya kuungana si ilikua Tanganyika na Zanzibar so wameungana nchi mbili so kwa uelew wangu ni lazma ikishakua muuungano means ni watu wawili au zaidi so ni jamuhuri ya muungano wa watu wa Tanzania means( Zanzbar na Tanganyka)
 
Tambua matumizi ya The au A

Ni sawa na an au a kulingana na neno la mbele yake ndio tunaamua tuweke
.an, a, the n.k
 
Wrong,kwani kabla ya kuungana si ilikua Tanganyika na Zanzibar so wameungana nchi mbili so kwa uelew wangu ni lazma ikishakua muuungano means ni watu wawili au zaidi so ni jamuhuri ya muungano wa watu wa Tanzania means( Zanzbar na Tanganyka)
Kiunganishi au neno '' wa'' lina demand neno lingine la kuungwa kwenye kiunganishi ''wa''

Jamhuri ya muungano wa Tanzania na nani?
 
Je Usahihi ni United Republic of Tanzania au Ni ""The United Republic of Tanzania.?""

Kwa Maana ""Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ""na Siyo ""Jamhuri ya Muungano Ya Tanzania.""? .... Karibuni
Kiswahili ni 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'
Kiingereza ni ' The United Republic of Tanzania'
 
Back
Top Bottom