Wakuu naomba C.V ya Dr. Mpango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu naomba C.V ya Dr. Mpango

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jun 14, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wakuu naomba C.V ya huyu Dr. Mpango aliyetuandalia mpango wa maendeleo unaoendelea kujadiliwa bungeni.

  ======================

  leo tarehe 23 /12/2015 Dr Mpango ameteuliwa kuwa waziri
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,792
  Likes Received: 1,581
  Trophy Points: 280
  Ana PhD ya Uchumi. Kabla ya kufanya kazi World Bank Tanzania alikuwa Mhadhiri wa Uchumi UDSM. Baada ya kutoka WB akateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Fedha kabla ya kuwa Katibu Mtendaji Tume ya Mipango. Ni mzaliwa wa Kigoma.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  asante mkuu!kumbe alikuwa wizara ya fedha!kwa hivyo alikuwa anatupangia mipango 5 years ago leo hii tumuamini kwa kutupangia mpango wa coming 5 years.haya bana mi yangu macho.
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2015
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 14,321
  Likes Received: 6,044
  Trophy Points: 280
  Jf ni hazina kubwa
   
 5. C

  CHAZA JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2015
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 6,368
  Likes Received: 1,867
  Trophy Points: 280
  Ni huyu mteule Kamishna mpya wa TRA. Ama kwa hakika Jamii Forums ni sheeda, ina data za kila mtu!
   
 6. r

  rsvp JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2015
  Joined: Dec 13, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Alikuwa anapanga mipango,lakini ilikuwa mipango haitekelezeki kwa sababu mbalimbali.sasa amepelekwa aone pesa inapopatikana ili aone ni vipi pesa ilikuwa haitoshi kupanga mipango!!!
   
 7. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2015
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 14,321
  Likes Received: 6,044
  Trophy Points: 280
  Tumuombee kila lililo na heri
   
 8. m

  mkawaremix Member

  #8
  Nov 29, 2015
  Joined: Oct 9, 2015
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hahahah sio ya kila mtu jmn, KUNA WENGINE utata
   
 9. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2015
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 5,908
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Ana undugu na Kikumbi Mpango?!
   
 10. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2015
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 14,321
  Likes Received: 6,044
  Trophy Points: 280
  CV yenye utata inajulikana mkuu....we hope kwamba ataitumia cv yake kama alivyoamaniwa
   
 11. m

  mkawaremix Member

  #11
  Nov 29, 2015
  Joined: Oct 9, 2015
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naamanisha zingine zina utata, mfano nkiomba ya bwn LUKUVI William huenda isipatikane mkuu
   
 12. muhomakilo jr

  muhomakilo jr JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2015
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 9,356
  Likes Received: 2,491
  Trophy Points: 280
  Daah we jamaa bhana...
   
 13. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2015
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 26,830
  Likes Received: 6,816
  Trophy Points: 280
  ni mtu na mdogo wake
   
 14. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2015
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,039
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 180
  Wachache nasema wachache, walivurugwa na utawala mbovu wa Kikwete, wanaweza kuwa watendaji wazuri katika utawala wa Magufuli
   
 15. Aljazera

  Aljazera JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2015
  Joined: Feb 11, 2015
  Messages: 638
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Je Askofu Mpango(Mstaafu DWT Kasulu) pia ni ndugu yake?
   
 16. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2015
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Ndiyo ni ndugu yake pia
   
 17. A

  Arovera JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2015
  Joined: Nov 19, 2013
  Messages: 1,641
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Kikumbi Mpango sidhani kama wanaundugu lakini huyu jamaa ni mwenyeji wa kijiji cha kasumo wilayani kasulu mkoa wa kigoma na alisomeshwa na wamisionari enzi hizo na ni dep moja nadhani na akina prof yanda ambae anazaliwa kijiji cha kajana, na kuhusu askofu Mpango wanaundgu wa ukoo na zaidi huyu bwana ana mtoto anaitwa Elisia ni daktari na hupendelea kunywa Whiskey sana mida ya jioni na ameolea Arusha pia.
   
 18. A

  Arovera JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2015
  Joined: Nov 19, 2013
  Messages: 1,641
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Kiutendaji yuko vizuri na ni mtu mwenye vision sana waliowahi kufanya nae kazi wanasema jamaa ni intelligent sana na hua yuko strict na kazi zake sema utawala uliopita alikwamishwa na Kikwete na yeye alikua moja ya waliokua wanaumia kuandaa mipango mizuri lakini inatupwa kabatini bila kutekelezwa
   
 19. KikulachoChako

  KikulachoChako JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2015
  Joined: Jul 21, 2013
  Messages: 13,271
  Likes Received: 9,389
  Trophy Points: 280
  Nazidi kujivunia utaifa wangu kwa mara ya kwanza......
   
 20. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2015
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 5,328
  Likes Received: 4,789
  Trophy Points: 280
  Kikumbi Mpango mnamaanisha Mwanza Kikumbi Mpango yaani Mzee king kikii??
   
Loading...