Executive Diary
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 325
- 819
.
AaaiyaaaaHizi hapa
Aaaiyaaaa
Huyu naona alikalia washawashaHapa kama alikua anafanyiwa observation chumba cha dakta.... Au ni ajali kazini?
Huyu naona alikalia washawasha
Kanakuwa kaslay queen flani hivi amazingAlafu huyu mdada ukimkuta barabarani na ki skin chake anakutingishia kishuzi kama kuna tivii ndani...
Swila huyoMkuu huyu ni black mamba au swilla? Ni sehemu gani hio?
Rukwa?? Au nafananisha?
Hata bure sipigi
Kwa kiswahili ni swilaNimekutana nae mara mbili eneo hilo hilo, anaonekana kama maeneo ya baada ya kichwa anatanuka, nikawaza kama anaweza kuwa cobra, Ni dude flani kubwa hizo picha nimepiga kwa mbali.
Pia anaonekana ana busara maana angeweza kunipoteza
Mbona umeedit mkuu weka ogWadau kama title inavyojieleza naomba tushare picha tulizopiga kwa simu zetu picha yako kali uliyowai kuipiga karibuni. Picha zangu nilizopiga maeneo tofauti tofauti ni hizi.View attachment 1221933View attachment 1221935View attachment 1221936View attachment 1221937View attachment 1221938View attachment 1221939View attachment 1221941View attachment 1221942View attachment 1221943