Wakuu nakaribisha kushare hapa picha yako kali unayoikubali uliyopiga kwa simu

Hizo
FB_IMG_1568442125696.jpeg
20190908_151202.jpeg
FB_IMG_1562688002772.jpeg
FB_IMG_1554225651015.jpeg
 
Kwa haraka haraka huyo ni Black Mamba, huyo mjamaa sio vyema kucheza naye "mpiko mpiko" kama ulivyofanya kwa maslahi ya maisha yako endelevu.
Nice pics though
Nimekutana nae mara mbili eneo hilo hilo, anaonekana kama maeneo ya baada ya kichwa anatanuka, nikawaza kama anaweza kuwa cobra, Ni dude flani kubwa hizo picha nimepiga kwa mbali.
Pia anaonekana ana busara maana angeweza kunipoteza :mad::mad:
 
Mkuu huyu ni black mamba au swilla? Ni sehemu gani hio?
Dodoma mkuu maporini ndani ndani kabisa huku kwenye vichaka vya miyombo. binafsi nawajua black mamba hawana vichwa vya hivyo huwa wanaweza kuwa na miili mikubwa ila vichwa sio vikubwa na vina shape kama ya jeneza. swilla wakoje?
 
Unamuua nyoka porini wakati ndo mazingira yake? Angekuwa kwenye maskani yangu ningepambana nae, ila porini ningekuwa kununua ugomvi usio na maana
Swali la kipuuzi ila umelijibu kwa busara na akili kubwa sana! umefanya jambo sahihi sana maana yeye yupo nyumbani kwake porini!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom