Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,172
- 34,277
Ah wapi kitu mwaboza pande za monga vyeru huko kuna dagaa mpaka unachanganyikiwa kipumbwi msimu tu mwaboza mpaka dagaa dam wanafanya la kuchemsha
Kipumbwi ndo mwenyewe kwa madagaa