Wakuu nakaribisha kushare hapa picha yako kali unayoikubali uliyopiga kwa simu

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Messages
1,691
Points
2,000

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2014
1,691 2,000
Kwa haraka haraka huyo ni Black Mamba, huyo mjamaa sio vyema kucheza naye "mpiko mpiko" kama ulivyofanya kwa maslahi ya maisha yako endelevu.
Nice pics though
Nimekutana nae mara mbili eneo hilo hilo, anaonekana kama maeneo ya baada ya kichwa anatanuka, nikawaza kama anaweza kuwa cobra, Ni dude flani kubwa hizo picha nimepiga kwa mbali.
Pia anaonekana ana busara maana angeweza kunipoteza :mad::mad:
 

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Messages
1,691
Points
2,000

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2014
1,691 2,000
Mkuu huyu ni black mamba au swilla? Ni sehemu gani hio?
Dodoma mkuu maporini ndani ndani kabisa huku kwenye vichaka vya miyombo. binafsi nawajua black mamba hawana vichwa vya hivyo huwa wanaweza kuwa na miili mikubwa ila vichwa sio vikubwa na vina shape kama ya jeneza. swilla wakoje?
 

Forum statistics

Threads 1,344,042
Members 515,307
Posts 32,805,762
Top