Wakuu nahitaji nyimbo za huyu dada Deborah Fraser - Abanye Bayombona

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Mnisaidie namna ya kupata link za kudownload nyimbo za huyu dada namfeel sana ana nyimbo za hisia sana za kizulu
 
Mnisaidie namna ya kupata link za kudownload nyimbo za huyu dada namfeel sana ana nyimbo za hisia sana za kizulu

Nakushauri uingie "you tube" then uandike jina lake, nyimbo zake zote utaziona na kama una programe za ku-download utafanikiwa vizuri tu. La sivyo ingia dukani ukanunue Cd zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom