Habari za wakati huu wapendwa,
Nipo hapa kuomba msaada wa kimawazo.
Mwenza wangu anakaribia kujifungua na amebakiza almost wiki kama5 tu. Clinick tumekuwa tukiattend pale Agakhan hospital ila tulivoulizia gharama za kujifungua tumeambiwa zinaweza kufikia hadi millioni6 au 7 in case kama kuna emergency.
Bima ina uwezo wa kucover tzs 4.7M pekee. Sasa nataka nimuhamishe hapo akajifungulie hospitali nyingine ambayo haina gharama kubwa sana. Kwa experience yenu ninaomba msaada wa hospitali ipi nzuri kwa mama na mtoto na yenye gharama ambazo bima itacover. Bima ni ya Jubilee insurance.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.