Wakuu nahitaji kujua juu ya biashara ya simu faida na hasara pia upatikanaji wake

Kama unahitaji biashara hii basi uza ambazo used, pembeni ukiwa na mobile phone repair shop utajilaumu ulikuwa wapi muda wote.

Capital ukianza millions 2 siyo mbaya.
 
Kama unahitaji biashara hii basi uza ambazo used, pembeni ukiwa na mobile phone repair shop utajilaumu ulikuwa wapi muda wote.

Capital ukianza millions 2 siyo mbaya.
Wazo zuri ila umeniacha kidogo
 
Back
Top Bottom