denis eliah
Member
- Aug 14, 2017
- 49
- 68
ndio wengine huziita VespaHizi si ndo zile wanaita batavuzi mkuu??
bei huko ni kiasi gani... samahani kwa usumbufuVuka Maji njoo kwetu kisiwan Unguja utazikuta zimejaa tele
Batavuzi
Sent from my TV
Batavuzi
Sent from my TV
pia unaweza jaribu ilala mtaa wa lindi duka linaitwa dar bike wako karibu na office za taqwa bus.