Wakuu, Mwenzenu Uvimilivu Umenishinda!

Wakuu natumai wote ni wazima wa afya tele.

Moja kwa moja rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kwanza, mimi ni mfuasi mtiifu wa Jiwe, ila hili la kufungia mitandao (zaidi ya wiki sasa) najisikia vibaya.

VPN yenyewe kuipata na kuitumia shida.

Jamani kwa anaejua Mitandao itafunguliwa lini atujuze au ndio tuendelee kuisoma namba tukitembea (Kifua mbele) 🤔🤔

Uzi tayari 🏃🏽🏃🏽
We nawe, mbona umekosa uvumilivu?!

Si unakumbuka Askofu Rasheed Gwajima alituambia 5G inasababisha corona?! Basi kwa taarifa yako baada ya mabeberu kuona Afrika bado hawajapata 5G, wakafanya update ya corona na hivi sasa inasambazwa kwa 3G & 4G!

So, Rais wetu kipenzi kafanya makusudi ili kuzuia corona isienee kupitia 3G na 4G iliyo hadi mashambani!

SHUKURU MUNGU kwa kupata Rais anayetujali!
 
Eti 'askofu Rasheed'
haya bwana tumuite Askof Rasheed bin Gwajima atufafanulie uhusiano wa 5G na 'kovidi kumi na tisa'
 
Back
Top Bottom