Wakuu mwenye uzoefu na decoder ya canal +, nahitaji kununua

Nahitag kununua decoder aina ya canal + mwenye uzoefu na hii decoder kuanzia kwnye installation mpka kwenye matumizi na ulipaji wa vifurishi tafadhari msaada

Ninacho mkuu sijui unapatikana mkoa gani? Tufanye biashara.
 
Mi natumia iko poa sana ila malipo unafanya kwa mawakala wao wapo sehemu nyingi mfano mi nalipia kwa wakala yuko dar ila mi nioo tanga na sh 42000 coz wanalipia 40000 natumai nimekusaidia
Chako no version ya kifaransa au kingereza
 
Mi natumia iko poa sana ila malipo unafanya kwa mawakala wao wapo sehemu nyingi mfano mi nalipia kwa wakala yuko dar ila mi nioo tanga na sh 42000 coz wanalipia 40000 natumai nimekusaidia
Shukran sana mkuu kwa maelekezo
 
Mi natumia iko poa sana ila malipo unafanya kwa mawakala wao wapo sehemu nyingi mfano mi nalipia kwa wakala yuko dar ila mi nioo tanga na sh 42000 coz wanalipia 40000 natumai nimekusaidia
Mkuu naomba niunganishe na huyo Agent nataka kununu king'amuzi hicho
 
Mi natumia iko poa sana ila malipo unafanya kwa mawakala wao wapo sehemu nyingi mfano mi nalipia kwa wakala yuko dar ila mi nioo tanga na sh 42000 coz wanalipia 40000 natumai nimekusaidia
Unahitaji kuwa na dish pia au kinafanya kazi bila dish
 
Back
Top Bottom