Wakuu mwenye format ya baruza za tend zinavyo kuwaga naomba anisaidie

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
wakuu nilikua nahitaji kwa mwenye format ya uandisha wa barua za tenda anisaidie ninashida nayo sana

thanx
 
In Tender, there is two issues namely, Open and restrictive Tender. each type of Tender has its distinct feature. Kindly elaborate in order for us to assist you.
 
In Tender, there is two issues namely, Open and restrictive Tender. each type of Tender has its distinct feature. Kindly elaborate in order for us to assist you.

Itakua restrctive tender, make ni tenda ambayo unapekeka bahasha ikiwa imefungwa kwa lakili,
 
Nashukuru kwa wale waliomwelewesha na hata wale waliomkosoa ila kama mtu umemwelewa hakuna haja ya kumwambia arudi darasani.
 
Nashukuru kwa wale waliomwelewesha na hata wale waliomkosoa ila kama mtu umemwelewa hakuna haja ya kumwambia arudi darasani.

ni kweli mkuu si kwamba hata kama umesoma basi unajua kila kitu na kuuliza si ujinga watu kama hawa huwa wanakua wabinafsi maofisini na hata shuleni utakuta walikua wachoyo wa matilio
mungu akusamehe
 
Back
Top Bottom