Wakuu mwenye circuit ya samsung note 5

Nenda AliExpress zipo kibao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wakuu mwenye circuit ya Samsung note 5 aje tufanye biashara simu yangu imekufa circuit
Ushauri tu achana nayo kwanza nisimu ya zamani ji update hata na note 8 au 9 ingawa nazo zimepitwa na wakati..hazi receive updates...
Acha huo uswahili wa kukarabati toyota stout kwa gharama wakati kuna hilux bei chee..
 
kimfaacho mtu chake
 
Back
Top Bottom