Kwani ni nani huyu?
Where there is no white woman, there is no woman-oj SimpsonAcha tuu mkuu
Huyu ndio mjane wa marehemu Deo?Dah mkuu upo nchi gani?
View attachment 358954
Mke wa marehemu mweshimiwa Deo RIP, alikufa kwa ajali ya helcopta jamniDah mkuu upo nchi gani?
View attachment 358954
Pesa tupuDah mkuu upo nchi gani?
View attachment 358954
Si utakuwa mmoja wapo wa warithi? auSijaelewa hapa
Pesa tupu!!!!
Mkuu ni kwa mapenzi mema tuu mkuu Mimi nataka kwenda kutoa pole ni mila zetu za kiafrica hazizuiii mtu kutoa pole, na mila zetu hazielezi muda wa kutoa poleMke wa Marehemu Deo Filikujombe (RIP) huyu. Mwache mjane wa watu apumzike wewe. Na amekuruhusu kusambaza picha zake humu? Akikukomalia utatoka au nawe utatuomba tukuchangie?
Ndio ubaya wa mali za mashetani wa kikinga.. Huchelewi kufa..Dah mkuu upo nchi gani?
View attachment 358954
Unajua kuna watu wanadhani kila kitu ni mzaha.Mke wa Marehemu Deo Filikujombe (RIP) huyu. Mwache mjane wa watu apumzike wewe. Na amekuruhusu kusambaza picha zake humu? Akikukomalia utatoka au nawe utatuomba tukuchangie?