Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hotspot ni ya mtoaji, kwa client inaitwa wi- fiFafanua vizuri. Hiyo tecno ndio hotspot au unataka kuitumia kama client?
Yaani nilichomaanisha ni kwamba anataka aitumie tecno kama wi fi hotspot yaani iwe source ili aconnect device nyingine kama simu au pc kuaccess internet. Au shida yake ni kuconnect tecno kwenye source iili aitumie tecno kwa internet. Asipofafanua vizuri ni vigumu kupata msaada.hotspot ni ya mtoaji, kwa client inaitwa wi- fi
Kwan mb huna
Mkuu ni hivi nataka kutumia tecno kama source ya internet connnection kwa pc au kwa maana nyingine badala ya kutumia modem kwenye pc kwa ajili ya internet, nataka nitumie tecno.Fafanua vizuri. Hiyo tecno ndio hotspot au unataka kuitumia kama client?
unaiwasha inakua visible kwa device zingine?
Mkuu ni hivi nataka kutumia tecno kama source ya internet connnection kwa pc au kwa maana nyingine badala ya kutumia modem kwenye pc kwa ajili ya internet, nataka nitumie tecno.
Ambapo kuna kitu kinaitwa tethering and portable hotspot ktk tecno ambayo inawezesha utendaji wa hiyo kaz nayokusudia.
Tatizo langu ni kwamba tecno yangu ndio inasumbua kuconnect, lakini nikijaribu tecno zingine inapiga fresh.
Sijui umenipata japo kidogo mkuu?
Inagomea wapiMkuu ni hivi nataka kutumia tecno kama source ya internet connnection kwa pc au kwa maana nyingine badala ya kutumia modem kwenye pc kwa ajili ya internet, nataka nitumie tecno.
Ambapo kuna kitu kinaitwa tethering and portable hotspot ktk tecno ambayo inawezesha utendaji wa hiyo kaz nayokusudia.
Tatizo langu ni kwamba tecno yangu ndio inasumbua kuconnect, lakini nikijaribu tecno zingine inapiga fresh.
Sijui umenipata japo kidogo mkuu?
Ila lazima na data iwe on!Nadhan wewe unataka kutumia tecno yako kwenye Pc ufanye kushare internet...nenda setting ...tethering and hotspot...then configuration...wekapassword.baada ya hapo washa WI.FI hotspot ya simu nenda kwenye Pc sharing then connect ikihitaj password weka ile uloweka kwa simu