Wakuu msaada tethering and portable hotspot

fdizzle

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,891
2,366
Nimeshindwa kuunganisha wifi hotspot natumia tecno y6,simu zingine zinakubali ila kwangu inagoma sijajua ni kwa nini mwenye ujuzi anijulishe waungwana
 
Fafanua vizuri. Hiyo tecno ndio hotspot au unataka kuitumia kama client?
 
hotspot ni ya mtoaji, kwa client inaitwa wi- fi
Yaani nilichomaanisha ni kwamba anataka aitumie tecno kama wi fi hotspot yaani iwe source ili aconnect device nyingine kama simu au pc kuaccess internet. Au shida yake ni kuconnect tecno kwenye source iili aitumie tecno kwa internet. Asipofafanua vizuri ni vigumu kupata msaada.
 
Nadhan wewe unataka kutumia tecno yako kwenye Pc ufanye kushare internet...nenda setting ...tethering and hotspot...then configuration...wekapassword.baada ya hapo washa WI.FI hotspot ya simu nenda kwenye Pc sharing then connect ikihitaj password weka ile uloweka kwa simu
 
Fafanua vizuri. Hiyo tecno ndio hotspot au unataka kuitumia kama client?
Mkuu ni hivi nataka kutumia tecno kama source ya internet connnection kwa pc au kwa maana nyingine badala ya kutumia modem kwenye pc kwa ajili ya internet, nataka nitumie tecno.
Ambapo kuna kitu kinaitwa tethering and portable hotspot ktk tecno ambayo inawezesha utendaji wa hiyo kaz nayokusudia.
Tatizo langu ni kwamba tecno yangu ndio inasumbua kuconnect, lakini nikijaribu tecno zingine inapiga fresh.
Sijui umenipata japo kidogo mkuu?
 
unaiwasha inakua visible kwa device zingine?

Inagomea wapi
 
Kwan mb huna
1480788817834.png
1480788832186.png
 
Nadhan wewe unataka kutumia tecno yako kwenye Pc ufanye kushare internet...nenda setting ...tethering and hotspot...then configuration...wekapassword.baada ya hapo washa WI.FI hotspot ya simu nenda kwenye Pc sharing then connect ikihitaj password weka ile uloweka kwa simu
Ila lazima na data iwe on!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom