Wakuu msaada tafadhali

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Wakuu .za asubuh...naomba msaada ..ni kampuni ipi Tz inayofanya usafirishaj wa mizigo from china ambayo angalau ina gharama nafuu...SIlent ocean naona wana gharama sana...

Angalau nipate kampuni hata 3 nzur zenye gharama nafuu na security na sio watu wa longo longo

Msaadaa tafadhal wakuu
 
Silent ocen ndo wapo vizuri mkuu

Kwa gharama nafuu na uhakika,, ila ao wengine ni magumashi tu (wagharama nafuu)
 
Wakuu .za asubuh...naomba msaada ..ni kampuni ipi Tz inayofanya usafirishaj wa mizigo from china ambayo angalau ina gharama nafuu...SIlent ocean naona wana gharama sana...

Angalau nipate kampuni hata 3 nzur zenye gharama nafuu na security na sio watu wa longo longo

Msaadaa tafadhal wakuu
Nakushauri Silent Ocean ndio the best ...kama wao unawaona bei juu ujue hao wengine ni balaa...
Pili bidhaa yako itafika kwa haraka na wanafanya home delivery kwa bei kidogo kabisa....
Kuna
Mokha wapo jengo la ushirika
Kilimanjaro Cargo..
Unaagiza mzigo January unafika December....
 
Back
Top Bottom