Wakuu Msaada jamani

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Ninatatizo la kusikia kelele kama muungurumo ktk sikio la kulia sasa sijui ni kitu gani, hali hii ina kama siku 3 mfululizo. Hapa nilipo kidogo kuna joto kali (33 - 39 deg. Centigrade).

Naomba ushauri wa kitaalamu.

Asante
 
Muone ENT specialist akupime, huenda pia ni ear wax imeeyuka kwa ajiri ya joto na ukiweka Cerumol ear drop inaweza saidia kama tatizo ni hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom