Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,326
- 2,239
Ndugu zangu mlowai nunua simu kikuu mnipe uzoefu, mi niliweka order tar 21 december 2020, lakini hadi leo karibia mwezi mzima lakini mzigo bado uko warehouse.
seller hajibu chochote, customer service wananipiga mpira tu yani af pia feedback ya wanunua ni nzuri yan,Je, kipindi unaweka order uliangalia feedback wa wateja? Au uliagiza tu bila kuona feedback zozote?Jaribu KuOngea na seller wako umuulize.
ngoja niendelee kuomba MUNGU TU make yahitaji moyo kwa kweli.Broo tulia kwanza nikutoe wasiwasi mzigo wako utaupata pili kumbuka vifaa vya mlipuko kwa kikuu huwa vinachelewa sana
Mwisho: Simu nunua Aliexpress hata kudai refund ni simple ila huko kikuu jiandae
Hawa ali express malipo yakoje,,kikuu ni rahisi unalipia mpesa au tigo pesa na mzigo ukifika hakuna kusumbuana wanakuletea hadi homeBroo tulia kwanza nikutoe wasiwasi mzigo wako utaupata pili kumbuka vifaa vya mlipuko kwa kikuu huwa vinachelewa sana
Mwisho: Simu nunua Aliexpress hata kudai refund ni simple ila huko kikuu jiandae
naskia wanatumia mpesa master au kadi ya benki.Hawa ali express malipo yakoje,,kikuu ni rahisi unalipia mpesa au tigo pesa na mzigo ukifikahakuna kusumbuana wanakuletea hadi home
bro yan saiv siku ya 32 mzigo uko warehouse nkiuliza majibu uko kwenye final inspection ka vile ni bangi.Sometimes mzigo unachelewa unaweza pita mwezi..mimi niliagiza mara mbili zikaja ndani ya week 3 ila round ya tatu simu ulichukua zaid ya mwezi ila ikafika
Ilifika betri bovu nikalalamika nikarudishiwa pesa..nikaagiza tena nipo nasubiria hapa..kwahiyo tuliza ball
Visheria vimeanza kuwa vingi vingi sasa hivi ila kama umefika bongo mzigo utaupata, kuwa mvumilivu tu,,we check ile status ya mzigi ulipobro yan saiv siku ya 32 mzigo uko warehouse nkiuliza majibu uko kwenye final inspection ka vile ni bangi.
ni warehouse ya china boss sio tz hawajamaa pumbafu sanaVisheria vimeanza kuwa vingi vingi sasa hivi ila kama umefika bongo mzigo utaupata, kuwa mvumilivu tu,,we check ile status ya mzigi ulipo
Sasa hapo warehouse ya china inaweza piga zaid ya week 4,ndo mzigo uingie kwenye ndege utumwe,,na mi mzigo wangu pia umekwama hapo siku ya 7 hiini warehouse ya china boss sio tz hawajamaa pumbafu sana
hapo ni kuomba MUNGU aweke mkono wake vinginevyo kuna harufu ya kupigwa naionaSasa hapo warehouse ya china inaweza piga zaid ya week 4,ndo mzigo uingie kwenye ndege utumwe,,na mi mzigo wangu pia umekwama hapo siku ya 7 hii
Simple tu mzee mpesa master cardHawa ali express malipo yakoje,,kikuu ni rahisi unalipia mpesa au tigo pesa na mzigo ukifika hakuna kusumbuana wanakuletea hadi home
pumbavu hao jamaa nliwatest kwa kuagiza flash ikafika ndani ya wiki 2, nlivo agiza mzigo wa hela nyingi wameanza janja zao. Tangu 21 mwezi wa 12 had leo bado mzigo uko guangzhou warehouse huo si utapeli kbs.Niliagiza external disc Kikuu Jan.6 nimeipokea Jan.21.
Ntajaribu kutumia hii, ila si ndo mzigo unafikia posta?? Ambapo mnaanza kusumbuana
Hii inatokea sana yaan hapo mzigonwako una mwezi na siku tatu,,endelea kusubiria ukitoka tu hapo Warehouse ndani ya siku 5 ushaupatapumbavu hao jamaa nliwatest kwa kuagiza flash ikafika ndani ya wiki 2, nlivo agiza mzigo wa hela nyingi wameanza janja zao. Tangu 21 mwezi wa 12 had leo bado mzigo uko guangzhou warehouse huo si utapeli kbs.
Trust me hupigwi, mzigo utafika tu..huu ni mzigo wangu nishaupokea tayari ila chek hapo warehouse ulivyokaa mda mrefu..na hapo ndo panapocheleweshahapo ni kuomba MUNGU aweke mkono wake vinginevyo kuna harufu ya kupigwa naiona