Wakuu msaada hawa kikuu vipi

dama, mkuu shida sio seller ni wao kikuu wenyewe.
Mkuu mzigo wangu walikadiria tarehe 21-24 february lakini naona ntaudaka soon ushaingia Tanzania tayar hapa ndani ya siku tatu. yaan mpaka ijumaa mzigo upo mikononi mwangu ila mchawi yupo hapo ware house (22days)sehemu nyingine kote unatembea
20210209_114710.jpg
 
Mkuu mzigo wangu walikadiria tarehe 21-24 february lakini naona ntaudaka soon ushaingia Tanzania tayar hapa ndani ya siku tatu. yaan mpaka ijumaa mzigo upo mikononi mwangu ila mchawi yupo hapo ware house (22days)sehemu nyingine kote unatembeaView attachment 1698203

naona na wangu uko flight departure ila unakaribu week sasa sijui ulipandishwa ungo au nini
 
Back
Top Bottom