Wakuu mniombee

Mr possibility

Senior Member
Mar 19, 2020
175
134
Naam salamu wakuu wa jf

Lengo hasa la uzi naomba mniombee
Nasikitika kwamba kwa muda wa miezi minne nitalazimika kuzima simu na hivyo kuikosa JF kwani narudi shule..

Mimi ni form six na mwezi wa tano tunakabiliwa na mtihani wa taifa hivyo ni miezi minne tu imebaki

Mniombee sana ili niweze kufanya mitihani hii kwa muktadha wa kile nilichojifunza,pia nimesikia kuwa kufaulu vyema form vi kuna guarantee ya kwenda chuo kuanza na degree moja kwa moja hivyo mniombee

Nawasilisha🙏🙏🙏🙏🙏
 

Attachments

  • IMG-20210109-WA0013.jpg
    IMG-20210109-WA0013.jpg
    46.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom