Wakuu matusi yana nafasi gani katika kupandisha molali za vibarua wa kazi ngumu?

Umetusahau na sie wavuvi hatuko nyuma kwenye matusi, na wabeba mizigo stand, bandarini
 
Nyimbo mojawapo ya mafundi wa Tanesco hii hapa.

Mama mama mama ulizaa na bwana maskini ona sasa mwanao nateseka oooh nateseka,kaza kalio wewe nguzo inyanyuke hioooo....
😇 😇 😇 😇 😇 😇 😇 😇 😇 😇 😇 😇 😇
 
Nyimbo mojawapo ya mafundi wa Tanesco hii hapa.

Mama mama mama ulizaa na bwana maskini ona sasa mwanao nateseka oooh nateseka,kaza kalio wewe nguzo inyanyuke hioooo....
Mie kuna siku nilipita kwenye gereji fulani, nikakuta vijana wamekuja pale kufundishwa ufundi. Sasa wakawa wananyanyua ma vyuma mazito ya kwenye gari kiasi kwamba wanashindwa!
Yule fundi mwalimu wao akaanza kuwafokea "HEBU NYANYUENI HUKOOO, WASHENZI NYIE, SI MLIONA MFUKO WA MADAFTARI NI MZITO KUUBEBA MGONGONI MUENDE SHULE......" yaani nilijikuta nacheka sana.
 
Kuna kampuni ya waitaliano iliiywa socesca walikuwa na matusi balaa utasikia falankulo prokomadoma krokodio pompoo
 
Kwenye sheria mfano ukipeleka malalamiko polisi kwamba umetukanwa unapaswa kuainisha matusi husika na mwendesha mashtaka anaenda kuyasoma mbele ya hakimu kwenye hatua za kusoma maelezo ya awali ya kesi!
ahsante.
ila nimeyaandika huko nyuma kidizaini.
Kama unahamu sana mkuu, nenda tanesco omba ratiba ya siku ya kuweka milingoti uwafuate site huko
 
Nashangaa jamaa wa tanesco hapa wanaimba matusi mazito huku wakiweka nguzo kwenye shima.

Nimekaa na mafundi flani wao ni matusi mbele kwa mbele.

ukiingia kwa makonda, machinga ukisikiliza story zao.

wakuu hizi ni flastresheni, hasira za maisha, molali au burudani kazini.
Usisahau ma wale wa mabaka..
 
Hata kwa upande wa makamanda jeshini chenja za matusi zina morali ni noma
 
Hahah daah kumbe ambao hatujasoma tunapewa kazi ngumu balaa
Mie kuna siku nilipita kwenye gereji fulani, nikakuta vijana wamekuja pale kufundishwa ufundi. Sasa wakawa wananyanyua ma vyuma mazito ya kwenye gari kiasi kwamba wanashindwa!
Yule fundi mwalimu wao akaanza kuwafokea "HEBU NYANYUENI HUKOOO, WASHENZI NYIE, SI MLIONA MFUKO WA MADAFTARI NI MZITO KUUBEBA MGONGONI MUENDE SHULE......" yaani nilijikuta nacheka sana.
 
Kuna sehemu walikuwa wanaweka nguzo Karibu na darasa alafu wanafunzi wako kufanya pepa! Ilibidi pepa isubirishwe nusu saa ili jamaa wamalize kazi yao.

Maana matusi yaliyokuwa yakimwagwa pale ni balaa!

Walimu walipagawa! Wanafunzi wamepigwa na butwaa!

Kudadeki!
 
Ukitukana ni kama vile unausahaulisha ubongo wako maumivu ya muda huo hivyo. Niliona jaribio moja ambapo mtu anawekwa kwenye beseni kubwa la maji yenye barafu kisha wanapima muda ambao anaweza kuvumilia barafu akiwa kimya na akitukana. Kwa kutukana watu walikaa kwenye barafu kwa muda mrefu zaidi, kuliko walipokaa kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom