B babalian New Member Feb 1, 2021 3 2 Feb 1, 2021 #1 Swalama? Naomba kukaribishwa humu japo nimekuwa nasoma news bila kuwa na account. Pamoja.
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,026 10,673 Feb 1, 2021 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
S V Surovikin JF-Expert Member Aug 8, 2015 13,615 32,711 Feb 1, 2021 #3 Karibu, usisahau kupita kwa Kijana wa jana akufanyie test ya kipimo cha korona
B babalian New Member Feb 1, 2021 3 2 Feb 2, 2021 Thread starter #4 Kijana wa jana said: Karibu, usisahau kupita kwa Kijana wa jana akufanyie test ya kipimo cha korona Click to expand... Mkuu acha nijifukize tuu aisee, kipimo kipya sikiwezi.
Kijana wa jana said: Karibu, usisahau kupita kwa Kijana wa jana akufanyie test ya kipimo cha korona Click to expand... Mkuu acha nijifukize tuu aisee, kipimo kipya sikiwezi.