Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 3,971
- 4,730
mhn! basi sawa!but hyo psychological torture ya kukataliwa kukosa upendo plus bond.
mhn! basi sawa!but hyo psychological torture ya kukataliwa kukosa upendo plus bond.
Na sio wengi ni yatima! Hapana...wengi ni wale wa kukataliwa...mkuu sio watoto wote wa nje ya ndoa wamekosa malezi/kukataliwa pia hao watoto wa mitaani unaowazungumzia wengi ni mayatima hivo mada haiwahusu.
Mkuu hata mi sijui kwa nini iko hivyo!Natumai hamjambo wana jamvi.
Wakuu watoto wengi wa nje ya ndoa akiwemo mwanangu, ndugu, majirani na marafiki ninaowafahamu wengi wana akili sana.
Jambo hili nimeli-experience muda mrefu, japo sikupata sababu ya moja kwa moja kwa nini wana akili sana, hivo nikaamua kushare nanyi tupate majibu.
Karibuni kwa michango yenu.
😊😊Sababu hatuna hisia, so akili zetu tunazipeleka darasani na kwenye
Safi sana
Kwahiyo mkuu unahamasisha waliooa wazae nje wapate watoto wenye akili
Umelazimishwa kusoma thread hii Mkuu!!!Tafuta mtu anayependa mapenzi (Penny Money) muandikiane threads za mapenzi PM. Wote mtafurahi. Sisi wengine tuache tupumzike. After all, ni muda wa uchaguzi huu.
pole sana mkuu, je ni ipi sababu ya kukataliwa.Hasahasa wale waliokataliwa na baba zao huwa ni vichwa na sio mkia nikiwemo mimi hapa
Ngoja nijaribu kwa huu mchepuko wng then ntawaletea mrejesho
Kila La Kheri