Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

Nyie mnajua mnanichanganya sana.nasikia Mara chemical Mara stereo sasa nimaabara ya chemistry Au physics nilete na catalyst kabisa au hao mnaowataja niwakurugenzi wa bodi gani wakuu.
 
Wanawake mjitunze jamani bikra ziwe nyingi khaaa. Mtoto wa kiume kusikia bikra kapiga goti kwa Tv hahaha noma sana.
 
Ukonga ni sehemu na pia hiyo sehemu kuna gereza. Mfano mtu akisema yupo anakaa lumumbaa na ukauliza lumumba anafanya kazi ccm


Mkuu kwa wakazi wa Dar ukisema mtu yupo Ukonga, Segerea au Keko tunajua yupo lupango. Sema Stereo anaishi Ukonga sio yupo Ukonga.
 
Back
Top Bottom