Wakuu katika kundi la lowassa tunamuhitaji pia mwanakijiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu katika kundi la lowassa tunamuhitaji pia mwanakijiji

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by king11, Oct 18, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu tumeweza kudhibiti hali ndani ya chama katika mikoa yote na uchaguzi wa ndani ya CCM unaokuja tunahitimisha kwa kuwavua uenyekiti JK na Nape, hivyo kwa mipango hii 2015 ndani ya chama tupo vizuri kabisa


  Lakini nje ya chama kuna tatizo kubwa sana ambalo linatokana na wanaharakati wawili ambao inabidi tuweze kuwashawishi na kuwaomba watende haki pande zote na si kusimama na kufanya siasa za hisia .
  Tupo katika sehemu ya mwisho ya uanzishaji wa TV ya kurusha kampeni zetu na midaharo ya kisiasa itayofika nchi nzima na kibali tayari kimepatikana tayari na wajumbe wameanza kujipanga

  Ila ili kuipa nguvu television hii ni lazima tuwe na magwiji wa habari kama watatu TIDO, KUBENEA, MWANAKIJIJI kwa yeyote atayeweza kufanikisaha zoezi la kuwashawishi watajwa hapo juu basi dau la $ 100,000 litatolewa kwake pamoja na kuwaahidi wanahabari ao malipo makubwa kwa kipindi chote cha mkataba
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nipe dau mie nitakutana nao nitawagawia dau na kuwaomba wazidi kujikita katika kutetea thamani ya utu wao na kuwa independent mind, independent voice as well .
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii thredi ipelekwe kwenye jukwaa la mtangazo madogo madogo
   
 4. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tangazo la nafasi za Kazi. Liwekwe wazi zaidi. Limechanganya mambo.
   
 5. k

  king11 JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usijali mwanaharakati kama ukikamilisha jambo kama ilo basi utakuwa umefanya jema na tutakuwa na TV bora ya midaharo katika Afrika mashariki na si tu kwa kufanikisha 2015 bali ni kwa siku za usoni za vizazi vyetu. tuwasiliane
   
 6. S

  Straight JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  peleka hii kitu kwenye forum ya matangazo...
   
Loading...