Wakuu je kupata mkopo wa bodi ni bahati

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
704
813
Nimemaliza form four 2010 nimesoma shule ya kata pia nina diploma yenye gpa ya 4.7 nimeomba mkopo kozi niliyochaguliwa degree ni business administration nimeambatanisha na vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili. Bodi ndyo tegemeo langu kusoma

Je, kwa wale waliobahatika kupata mkopo mimi naweza pata ata asilimia kidogo ili niweze kusoma?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
utapata mkuu....sema andaa ela ya direct fees
 
Kama wanafuata haki na umeweka evidence ya kufiwa na wazazi sioni kwa nini usipate, lakini hawa jamaa saa nyingine hawaeleweki kama kucheza kamali hivi.
 
Mkopo utapata asilimia zote 100, la msingi uwe umehakiki vyeti vyako vyote (Vya kifo + kuzaliwa). Hawa jamaa hawana longolongo kama umefuata masharti yao.

Kwasababu katika masharti yao, wewe unakidhi vigezo vyote. Kaa mkao wa kula tu!!!
 
Mkuu utapata kidogo, maana hicho unachoenda kusomea kwa sasa sio kipaumbele cha serikali. Lakini naamini utapata japo 35%• Ingekuwa kipindi cha mkwere ningekuambia utapata japo 100%•
 
Nilipomaliza advance 2010 nilipitia mazingira kama yako

Nkachaguliw kwenda kusoma law SAUT sikulamba hata mia iliyotoboka
Ila usikate tamaa

Endelea kuwa mvumiliv tu
 
SAUT ulisomea fani gani, labda ilikuwa sababu kukosa mkopo?
 
kama umeweka vyeti vya kifo bas we jua firt batch jina lako lita kuwepo hata kama umeomba course mbovu kias gan ila mkopo utapata
 
Nimemaliza form four 2010 nimesoma shule ya kata pia nina diploma yenye gpa ya 4.7 nimeomba mkopo kozi niliyochaguliwa degree ni business administration nimeambatanisha na vyeti vya vifo vya wazazi wote wawili. Bodi ndyo tegemeo langu kusoma

Je, kwa wale waliobahatika kupata mkopo mimi naweza pata ata asilimia kidogo ili niweze kusoma?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
HIZO PROGRAMU SIO CHAGUO LA KWANZA KWA MKOPO, FANI AMBAZO WATU HUPEWA MIKOPO NI ZILE AMBAZO GVT IMEONA KUWA NI PRIORITY KWA MTAZAMO WAO. SI UNAONA WALISOMA EDUCATION, KILIMO KWANZA, KUFUNGA VIDONDA, MAKENIKA, MAFUNDI UJENZI, N.K WANATESA MTAANI BILA SHIDA BAADA YA KULA HELA NCHI YA KUSADIKIKA ALAFU NAYO HAIJUI ITAWAFANYA NINI HAWA WALIOKULA HELA ILI WALIPE
 
Back
Top Bottom