Wakuu huyu mtu wa banda banduka (times fm) hv kuna mwanamke yeyote kapitia huko atupe mrejesho

kinundu

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,029
2,128
Huyu mtu anaeleza namna anavyo washughulikia wanawake waliopo kwenye ndoa yan K inakua na mnato.. Hvyo bac mumewe anakua anapata raha ya mapenzi..

Anadai kwamba kuna bibi huko kungwi anawafanyisha mazoezi hao wanawake na wakifika kwa waume zao nasikia kidume kama ulikua unapiga goli moja bac utapiga ata matano siku hyo...

Sahivi kaja na mpya zaidi et wanawake wengi wamepewa ahadi na waume zao za magari, pesa na vitu vya gharama...

Kali zaidi kuna wanawake anawapigia simu na kutoa ushuhuda jinsi alivyopata huduma na namna mmewe anavyo faidi hilo tunda na kujisemesha maneno yasiyo semeka,...

Mi nahisi ni namna ya kupiga pesa.. Wakuu ambaye kapitia huko kwa bibi kungwi atupe mrejesho
 
'' mzilongwa mbali Zitendwa mbali''...................................!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom