Wakuu hizi habari zina ukweli kwa wale wazoefu?

Riz king

Member
Dec 30, 2018
72
125
Ndugu mimi niliomba MD Bugando mwaka huu nikapata na nashukuru mungu na nyie wana jf kwa ushauri wenu. nimefuatilia sana ada ya pale nikajuanaweza ku topup ela itakayo baki kama nikipata mkopo was heslb. Na ni muhitimu wa clinical medicine 2017 GPA4.0. Sasa kuna jamaa hapa Leo kanambia kuwa siwezi pata mkopo was tuition fee kwamba hakuna co ambae anasoma private kwa MD ambaye anapata mkopo kuwa wengi hawapewi. sasa nilitaka kupata mwelekezaji mwenye uono mpana akanipa analysis ili nielewe maana kama mkopo niliomba bila tatizo sasa iweje wakatae kunipa mkopo. Natanguliza shukrani
 

Mr Tyang

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
595
1,000
Bila shaka mleta post ulitumia Tecno kutype Maana ujumbe wako kidogo una *was* za kutosha aisee..
But Nimejitahidi kuelewa ulichokuwa ukimaanisha na kwa majibu tu nikwamba ondoa hofu juu ya Hilo ukipata tu mkopo full utalipiwa hiyo T.fees bila Shaka yeyote ile.
 

curryDriz

New Member
Sep 9, 2019
3
45
Mzee na wee toka upate io MD post kila sikuu maaulizo na GPA io lazima uweke......Anyway mkopo utapata haijalishii upo chuo gaan
 

Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
2,556
2,000
Dogo kila siku ma thread ya MD MD.GPA GPA tulia basi u relax mambo yata jiset mbele kwa mbele
 

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
5,870
2,000
typing error tu hiyo mkuu lakini haimaanishi kuwa ni mbovu kiasi hicho, cha msingi nipe ushauri niliyouomba
yani kifungu cha maneno maneno kimebanwa banwa hakina mpangilio unasema typing error dah.


nakutania mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom