luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Kwanza Una kwenda Lock up kupisha uchunguzi
Sasa siunajua makarao wetu uchunguzi mwaka 1 kwaiyo huo mwaka 1au zaid upo lock up
Sasa ukitoka ndio utakuwa na cha kuadisia
Sasa Usiombe Yakukute