Wakuu hivi kati ya hawa 10, ni nani hasa anatawala dunia?

1.Kwanza acha kuongeza chumvi kwenye maneno yako kwa hiyo "kama nyanya".
Ni kweli yapo makanisa yameuzwa ila sio kwa hiyo speed unayojaribu kutuaminisha hapa.

2. Pili kuwa na baadhi viongozi waislam sio kukua kwa uislam. Ulaya hakuna ubaguzi wa kidini, wanaangalia competency. Sasa kama mwislam ana qualify na ana uraia, kwa nini asipewe nafasi ya kuongoza?
Hata Atheists wasioamini Mungu wanaongoza,sembuse mtu muislam!!
(Mfano yule Mayor mwenye asili ya India/Pakistan).
Hata Iraq nchi ya Kiislam tena yenye itikadi kali ina kiongozi (mbunge) Mkristo.

SIJAIONA POINT YAKO KWENYE HILI.
Asante kwa maoni mazuri. Ila iraq ilukuwa nchi ya kikristo na waislam walipokuja hawakuwaondoa wakristo wote kama afrika kaskazini. Hao wakristo iraq sio kwa hisani ya uislam nao wako kwao
Kuna ambaye anawatawala na kuwaongoza wote hao 10 uliowataja na wengine wengi tu, ila sitamtaja hapa kwa sasa.
Mtaje hata kwa code wenda ukawa umelishwa conspiracy tu
 
Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.

Fedha ni utawala. Ndio maana hata Yesu alimwambie yule aliyezalisha talanta zaidi akatawale miji kumi. Hata Yesu anajua pesa na kutawala havitengani.
Tafiti za JF. Raha sana 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom